Kamati ya bunge ina siku 10 kuwasilisha ripoti ya uchunguzi wa kunga’tuliwa afisini kwa Linturi

  • | K24 Video
    66 views

    Kamati maalum ya bunge ina siku 10 kuwasilisha ripoti ya uchunguzi wa kunga’tuliwa afisini kwa waziri wa kilimo Mithika Linturi mbele ya bunge la kitaifa.kamati hiyo inatarajiwa kuanza kesho uchunguzi huo hasa kuwahoji washahidi huku waziri mithika linturi naye akijiandaa kujitetea mbele ya bunge la kitaifa ifikiapo wiki ijayo kama anavyoarifu milliah kisienya....