Kamati ya bunge kuhusu utalii na wanayamapori yazuru Taita Taveta

  • | Citizen TV
    376 views

    Wakazi wa kaunti ya taita taveta walipata fursa ya kuwasilisha malalamiko yao mbele ya kamati ya utalii na wanyamapori kutoka bunge la kitaifa kuhusu uvamizi wa mara kwa mara wa wanyamapori kwenye makazi ya. Swala la kuchelewa kwa pesa za fidia kwa walioathirika lilijitokeza pakubwa .