Kamati ya bunge ya elimu imeitaka wizara ya elimu kuwasilisha ufadhili wa shule za umma kwa usawa

  • | K24 Video
    39 views

    Kamati ya bunge ya elimu imeitaka wizara ya elimu kuwasilisha ufadhili wa shule za umma kwa usawa na kwa wakati unaofaa. Wakiongozwa na mwenyeketi wa kamati hiyo Julius Melly, wabunge hao wametoa shillingi bilioni moja itakayowezesha walimu kupandishwa vyeo. Vile vile wabunge hao wamewahakikishia walimu wa kuu katika hafla ya KESSHA iliyofanyika Mombasa kuwa watatathmini sera za kukabiliana na wizi wa mitihani