Kamau Thugge ahojiwa kuwa gavana wa Benki Kuu

  • | Citizen TV
    410 views

    Kamau Thugge anayependekezwa kuwa gavana wa benki kuu amesema kuwa atafanya kipaumbele kuhakikisha thamani ya shilingi ya kenya kwa dola ya marekani haishuki zaidi. Thugge kadhalika amesema mali yake ni ya thamani ya shilingi milioni 450.