Kamera yakaa miaka 13 kwenye maji, picha zake zanunusurika

  • | BBC Swahili
    825 views
    Kamera hii imekaa miaka 13 kwenye maji ya mto ... lakini picha zake zimenusurika Akiwa Colorado nchini Marekani, Coral Amayi alipoteza kamera yake ya kidijitali. Miaka 13 baadaye, Spencer Greiner alipokuwa akivua na kuokota takataka aliona kamera ikitoka kwenye tope. Cha jaabu ni kwamba, picha zilizokuwa ndani ya kamera hiyo zilinusurika na ilimbidi kuchapisha baadhi kupitia faceboo ili kumtafuta mwenye kamera yake. #bbcswahili #marekani #kamera