Kapu la kaunti: Mwanamke mwenye umri wa miaka 45 wadaiwa kumuua mumewe kwa kisu

  • | NTV Video
    430 views

    Mshtuko na huzuni ulitanda katika kijiji cha Kiptaldal katika lokesheni ya Waldai, kaunti ndogo ya Belgut baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 45 kudaiwa kumuua mumewe kwa kisu kuhusiana na mzozo wa ardhi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

    https://www.ntvkenya.co.ke