Kaunti ya Makueni yazindua mtandao wa kidijitali kuwezesha wakaazi kufuatilia miradi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    156 views

    Kaunti ya Makueni inazindua mtandao maalum wa kidijitali ambao utakuwa ukitumiwa na wakazi wa kaunti hiyo ili kufuatilia miradi ya maendeleo inayotekelezwa kaunti hiyo.Hatua hiyo inakisiwa kuwa itawasaidia kubaini jinsi fedha za kaunti zinavyotumiwa na miradi ya maendeleo inavyoendelea. Michael Mutinda anaungana nasi mubashara kutoka Makueni kwa maelezo zaidi.