Kenya Kwanza yasuta Raila Odinga kwa maandalizi ya mapema ya 2027

  • | West TV
    70 views
    Viongozi wandani wa Kenya kwanza wamejitokeza na kusuta kile wanachotaja kama maandalizi ya Mapema ya Raila Odinga ya kuwania Urais mwaka wa 2027 na kumtaka kuangazia utendakazi wa serikali ya sasa