Kenya yaadhimisha siku ya kuzuia kujitoa uhai huku visa vikiongezeka

  • | KBC Video
    18 views

    Unyanyapaa unaohusishwa na visa vya kujitoa uhai umechochea ongezeko la visa hivyo humu nchini. Takwimu zinaonesha kuwa atu sita kati ya 100,000 hujitoa uhai kila mwaka. Na wakati Kenya Ikiadhimisha siku ya kuzuia kujitoa uhai, Washikadau wanatoa wito wa kuzingatiwa kwa kujitoa kama suala msingi la kiafya huku wakitaka kampeni za uhamasisho ziimarishwe ili kupata suluhu kwa changamoto hiyo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #homicides #suicideprevention

    homicide suicide