Kenya yajiunga na mataifa mengine kuadhimisha siku ya maji duniani

  • | K24 Video
    24 views

    Kenya imejiunga na mataifa mengine kuadhimisha siku ya maji duniani huku uhaba wa maji ukisalia kuwa changamoto kuu katika maeneo tofauti nchini. Ni kufuatia hali hiyo ambapo wito wa kukumbatia mbinu tofauti ya kupata bidhaa hiyo ambayo sasa ni adimu umetolewa. Masaibu ya wananchi katika kaunti tofauti na utatuzi unaopendekezwa.