Kenya yajiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya huduma za kwanza

  • | KTN News
    261 views

    Siku ya huduma za kwanza huadhimiswa kila jumamosi wiki ya pili ya mwezi Septemba, ili kuwahamasisha watu kuhusu manufaa ya huduma hizi za kwanza haswa baada ya ajali au mtu kuumia.