Kifo Mgodini Wachimba migodi Sigalagala waangamia shimoni

  • | West TV
    82 views
    Mtu mmoja ameaga duni, Nane wakiokolewa wakiwa na majeraha huku watatu wakisalia ndani ya shimo la migodi eneo la Sigalagala eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega , juhudi za kuyaokoa maisha yao zikiendelezwa.