Kinara wa Azimio Raila Odinga amewataja viongozi walioenda kukutana na Rais kama wasaliti

  • | K24 Video
    1,609 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga amewataja kama wasaliti viongozi wa muungano huo walioenda ikulu kukutana na rais william Ruto. raila amevitaka vyama wanachama wa Azimio kuwachukulia hatua wote wanaohusika huku akiwaonya wanaodhalilisha mikutano ya siasa inayoendeshwa na muungano huo. Murutu, mbunge wa Langata Felix Oduor maarufu Jalang'o ambaye alikuwa mmoja wa waliokutana na rais Ruto, alizuiwa kuwa mkutanoni.