Kinara wa Azimio; Serikali ilishindwa kutimiza ahadi ilizotoa wakati wa kampeini za uchaguzi.

  • | KBC Video
    21 views

    Serikali imepewa alama ya D- katika mwaka wake wa kwanza afisini kwa mujibu wa muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya. Kwa mujibu wa kinara wa upinzani Raila Odinga, serikali ilishindwa kutimiza ahadi ilizotoa wakati wa kampeini za uchaguzi. Alikosoa mikakati ya serikali ya kuimarisha uchumi, kushuhughulikia maswala ya kijamii, kisheria na yale ya katiba. Anavyotuarifu Abdiaziz Hashim, kinara wa upinzani amesema umekusanya zaidi ya saini milioni kumi ambazo inatarajiwa kutumia kuiwajibisha serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News