Kinara wa Kenya Kwanza William Ruto apuuza kura ya maoni

  • | Citizen TV
    2,058 views

    Mgombea urais wa kundi la kenya kwanza william ruto ameeleza matumaini yake kushinda uchaguzi wa agosti tisa. Ruto anadai amepuuzilia mbali kura za maoni zinazoashiria kuwa mpinzani wake mkuu raila odinga anaongoza.