Kiongozi wa chama cha UDP Cyrus Jirongo apigia debe Azimio

  • | Citizen TV
    1,649 views

    Kiongozi wa chama cha UDP cyrus Jirongo ameendelea kupigia debe azma yake ya kutaka kuwa gavana wa kaunit ya kakamega. Akihutubia mkutano wa kampeni kule Shinyalu, Jirongo amewataka wapiga kura kumuunga mkono kinara wa Azimio Raila Odinga. hata hivo Jirongo amewataka wapiga kura kuchagua viongozi bora kwenye nyadhifa zingine bila kuzingatia vyama. Aidha amewasuta viongozi ambao alisema wanaeneza siasa ya matusi