Kituo cha kidijitali cha umma chafunguliwa kwa wakaazi wa kijiji cha Busho katika kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    96 views

    Kituo cha kidijitali cha umma kimefunguliwa kwa wakaazi wa kijiji cha Busho katika wadi ya Macknon Road huko Kinango kaunti ya Kwale. Kituo hicho kinalenga kuwanufaisha vijana na wanafunzi kwa kutumia mtandao wa intaneti bila malipo.