Kituo cha walemavu cha Hope Mobility cha funguliwa Kabanas

  • | Citizen TV
    169 views

    Kituo cha kuwasaidia walemavu nchini cha Hope Mobility kimefunguliwa eneo la Kabanas kwenye barabara ya Nairobi kwenda Mombasa hapa jijini Nairobi.