Kiwanda cha sukari cha nzoia kinakumbwa na uhaba mkubwa wa miwa

  • | Citizen TV
    253 views

    Kiwanda cha kusaga sukari cha nzoia kinakubwa na uhaba wa miwa na sasa kinalazimika kusaga sukari kwa siku mbili tu kwa wiki baada ya kukusanya miwa kutoka kwa wakulima wa kiwanda hicho kwa siku tatu.