Kiwewe cha mafuriko: Walio karibu na mito watakiwa wahame

  • | K24 Video
    133 views

    Siku moja baada ya rais william ruto kuagiza wanaoishi maeneo hatari ya mafuriko wahame, mamia walioathirika na agizo hilo wamelalamika kuwa ilani hiyo imewapa muda mfupi kwani hawakuwa wamejipanga. vile vile wameeleza kuwa wanatamaushwa na mipango ya serikali kwani hawajaelekezwa pa kuenda huku familia zao zikiendelea kuhangaika kwa baridi.