KK homeboys waizidi Tusker nguvu

  • | TV 47
    13 views

    Kakamega homeboys imeandikisha ushindi wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya tusker katika raundi ya tatu ya ligi kuu ya soka iliyochezwa ugani bukhungu

    Kakamega homeboys walitawala mechi hiyo na kupata uongozi wa mabao katika dakika ya 4 kupitia bao lake ambrose sifuna kabla ya Moses Shuma kufunga bao la pili katika dakika ya 17 huku Erick Zakayo akifungia tusker bao la kufuta machozi katika dakika ya 73.

    Haya yakijiri shabana ilisajili sare ya bao moja kwa moja dhidi ya police fc huku bandari wakicharaza ulinzi bao moja kwa 0.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __