Klabu ya Chelsea yamwajiri kocha mpya, Je atadumu?

  • | VOA Swahili
    855 views
    Mwandishi wa VOA akijibu swali la mtego kutoka kwa mtangazaji wa Duniani Leo kuhusu kocha mpya wa Chelsea. Sikiliza yaliyojiri katika uchambuzi wa ajira hii ambayo imetangazwa na Chelsea. #klabu #chelsea #kocha #voa #voaswahili #dunianileo #tottenham #klabu - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.