Kongamano la mabadiliko ya hali ya hewa barani Afrika limekua kumbusho la viongozi kutafuta suluhu

  • | KBC Video
    65 views

    Siku ya pili ya kongamano la mabadiliko ya hali ya hewa barani Afrika ilishuhudia viongozi wa mataifa ya Kiafrika wakijifunga kibwebwe kwa kuhakikisha kwamba hawabaki nyuma kutafuta sululu la tatizo hilo kwa kujikita katika mjadala na mawasilisho pevu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News