Kongamano la wahasibu lazinduliwa jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    120 views

    Mshauri wa rais kuhusu masuala ya afya ya akili Dkt Frank Njenga ameihimiza serikali kuweka vituo vya ushauri nasaha katika kambi za walioathirika na mafuriko akisema kuwa waathiriwa hao wanakabiliwa na mshtuko kufuatia madhila waliyopitia.