Kutana na Alex Saitabau, mpigambizi kutoka Kaunti ya Narok anayeokoa wanaozama majini

  • | Citizen TV
    7,904 views

    Maafa na masaibu kutokana na mafuriko yanapoendelea maeneo tofauti nchini, Alex Saitabau mpigambizi kutoka Kaunti ya Narok anafanya kazi ya kujitolea kuokoa wanaozama majini pamoja na kuopoa miili ya waathriwa. Anasema mwaka huu ameopoa maiti 15 za waliokufa maji kutokana na mafuriko.