Maadhimisho ya siku ya walinzi wa misitu yafanyika katika Kaunti ya Isiolo

  • | Citizen TV
    622 views

    Sherehe za Mwaka huu za kuadhimisha Siku ya Walinzi wa Misitu na Maliasili zinafanyika Kaunti ya Isiolo ambapo sherehe hizo zimeandaliwa kususan kuwakumbuka walinzi waliopoteza maisha yao wakiwa kazini. aidha hafla hiyo inaangazia uhifadhi wa Maliasili na Misitu. kauli mbiu Mwaka Huu ni Kuhakikisha asilimia 30 ya misitu Duniani imelindwa ifikapo mwaka wa 2030.