Maafisa wa ardhi watoa mafunzo kuhusu haki za umiliki wa mashamba kwa wakazi wa kaunti ya Kiambu

  • | Citizen TV
    325 views

    Kufuatia malalamishi mengi ya utata wa umiliki wa mashamba eneo bunge la Lari kaunti ya Kiambu, viongozi wa eneo hilo wameandaa warsha eneo la kimende kuhamasisha umma kuhusu haki zao za umiliki wa ardhi.