Maafisa wa polisi mjini Kisii wanasa vifaa vilivyoibwa katika mtaa wa Jogoo

  • | Citizen TV
    928 views

    Maafisa wa polisi mjini Kisii wamefanikiwa kupata Mali yenye thamani isiyojulikana katika nyumba moja katika mtaa wa Jogoo viungani mwa mji wa Kisii. Indaiwa mali hiyo iliibwa na genge ambalo limekuwa likivamia makaazi ya watu. Wananchi waliopoteza Mali yao sasa wanaombwa kufika katika kituo hicho cha polisi kutambua mali yao.