Maafisa wa polisi waupata mwili Tom Osinde mtoni Migori

  • | K24 Video
    51 views

    Maafisa wa polisi wameupata mwili wa aliyekuwa mfanyikazi katika hazina ya kitaifa Tom Mokaya Osinde uliotambuliwa mto kuja katika kaunti ya Migori. Mwili wa mwendazake ulitambuliwa katika mto huo na kufikishwa katika hifadhi ya maiti ya Migori ambapo familia na polisi wameutambua baada ya kipindi cha wiki moja cha kumtafuta. Tayari washukiwa wawili wanazuiliwa kutokana na mauaji hayo