Maambukizi ya virusi vya ukimwi

  • | K24 Video
    57 views

    Kenya bado haijapiga hatua kubwa katika vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kati ya mama na mtoto. Ripoti ya shirika la kupambana na ukimwi na magonjwa ya zinaa inaonyesha kuwa maambukizi hayo yako juu katika kaunti za Narok, Samburu, Wajir na Mandera. Maambukizi hayo ni asilimia 8.6. ripoti hiyo pia inaonyesha uhaba wa mipira ya kondomu na vifaa vya kupimia virusi katika vituo vya afya kote nchini.Aaidha kuna wasiwasi kuhusu ongezeko la maambukizi miongoni mwa vijana wa chini ya umri wa miaka 25