Maandalizi ya siku ya kiswahili duniani yang'oa nanga katika kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    160 views

    Maandalizi ya siku ya Kiswahili duniani yameng'oa nanga katika kaunti ya Mombasa. Wajuzi wa lugha, serikali ya kaunti ya Mombasa pamoja na idara ya Utamaduni na Turathi za kitaifa wanataka ushirikiano baina wadau ili kuhakikisha siku hiyo ilioanza kuadhimishwa mwaka.Jana imeafikia malengo yake ya kukuza lugha ya Kiswahili.