Maandalizi ya siku ya Utamaduni wa Jamii ya Maragoli

  • | West TV
    54 views
    Wazee wa jamii ya Maragoli wamenza maandalizi ya siku ya Utamaduni wa Jamii ya Maragoli wakidai kuwa sehemu kubwa ya jamii hiyo imeathirika kwa kukosa kufahamu utamaduni wao na kuingilia usasa.