Maandalizi ya Waziri Ndung'u | Bajeti ya kwanza ya serikali ya Kenya Kwanza

  • | Citizen TV
    2,163 views

    Ilikuwa siku kuu kwa Profesa Njuguna Ndung’u ambaye alisoma bajeti yake ya kwanza na pia ya kwanza chini ya serikali ya Kenya Kwanza. Ni bajeti ambayo imeratibu jinsi serikali itatumia ushuru wa mwananchi mwaka wa fedha 2023/2024. Faizal ahmed alikutana naye kabla yake kufika bunge na kutuandalia taarifa ifuatayo,