Madaktari wameendelea kusisitiza kuwa hawatatia saini hati ya kurejea kazini

  • | KBC Video
    30 views

    Mgomo wa madaktari umeingia wiki ya nane huku kukiwa hakuna makubaliano ,na madaktari wakiendelea kusisitiza kuwa hawatatia saini hati ya kurejea kazini . Makubaliano kati ya pande hizo mbili yalitarajiwa kuwasilishwa katika mahakama ya kushughulikia masuala ya leba Jumatatu asubuhi. Hata hivyo, mazungumzo ya jana hayakuzaa matunda, huku serikali na chama cha madaktari wakitofautiana. Na kama vile mwanahabari wetu Kasichana Masha anavyotuarifu, huku serikali ikisema imeshughulikia masuala yote muhimu, madaktari wana mtazamo tofauti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News