Madaktari wasitisha mgomo wao baada ya siku 56

  • | Citizen TV
    1,900 views

    Baada ya siku 56, hatimaye mgomo wa madaktari umesitishwa, hii ni baada ya kutiwa saini kwa mwafaka wa kurejea kazini kati ya muungano wa madaktari na serikali