Maeneo mengi nchini huenda yakashuhudia mvua kubwa wikendi

  • | K24 Video
    548 views

    Wizara ya usalama wa ndani imeonya kuwa maeneo mengi nchini huenda yakashuhudia mvua kubwa wikendi hii na hivyo imewataka wakenya wawe makini zaidi. Haya yanajiri huku shughli za uchukuzi kati ya kaunti za kiambu na Machakos zikiendela kuathirika baada ya daraja linalounganisha kaunti hizo eneo la donyo sabuk kusombwa na maji. Uchukuzi pia umeathirika katika barabara tofauti kutokana na mvua inayoendelea