Mafuriko : Mikakati yawekwa kuzuia magonjwa kambini

  • | KBC Video
    24 views

    Wizara ya afya imeimarisha juhudi za kuhakikisha kuwa usafi wa mazingira unadumishwa katika kambi zinazowahifadhi maelfu ya waathiriwa wa mafuriko kote nchini,ili kuzuia mchipuko wa magonjwa katika kambi hizo.Habari zaidi zinasema mashirika zaidi yanaendelea kujibu wito wa kutoa msaada kwa familia zinazoishi katika kambi za waathiriwa wa mafuriko kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive