Mahakama imetupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Gavana wa Kaunti ya Busia Paul Otuoma

  • | West TV
    79 views
    Mahakama ya mjini Busia imetupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Gavana wa kaunti hiyo Dr. Paul Nyongesa Otuoma iliyowasilishwa na aliyekuwa mpinzani wake mkuu katika uchaguzi uliopita John Sakwa Bunyasi kwa kukosa ushahidi wa kutosha.