Mahakama ya Kibera yamtoza faini David Gichuki kwa kusababisha vifo vya watu watatu

  • | Citizen TV
    385 views

    Mahakama ya Kibera imemtoza faini David Gichuki aliyepatikana na makosa ya kusababisha vifo vya watu watatu kwenye ajali ya barabarani.