Mahakama ya Mombasa yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Fatuma Achani

  • | K24 Video
    80 views

    Hatimaye ushindi wa gavana wa kwanza wa kike wa kwale Fatuma Achani umehalalishwa. Hii ni baada ya mahakama ya Mombasa kutupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wake kwa madai ulikuwa na dosari