Mahakama yamwagiza Marjan kumrejesha kazini naibu wake Ruth Kulundu

  • | K24 Video
    59 views

    Mahakama imemwagiza mkurugenzi mkuu wa tume huru ya IEBC Hussein Marjan kumrejesha kazini naibu wake Ruth Kulundu baada ya kuamua kuwa IEBC ilikosea kumtimua ofisini. IEBC iliyoongozwa na Wafula Chebukati ilimsimamisha kazi kwa madai ya kuungana na makamishna walioongozwa na Juliana Cherera kuhujumu shughuli za uchaguzi wa Agosti.