Makala ya pili ya mbio za Bokoji yafanyika Ethiopia

  • | Citizen TV
    217 views

    Adisu Gobera ameibuka mshindi wa makala ya pili ya mbio za Bokoji run nchini Ethiopia asubuhi ya leo. Mkenya wa kwanza alimaliza katika nafasi ya sita katika mbio hizo.