Makazi ya bora | Serikali kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba

  • | KBC Video
    48 views

    Rais William Ruto amesema mradi wa serikali wa kukuza wamiliki wapya wa nyumba kupitia kwa mpango wa kujenga nyumba za gharama nafuu unaendelea. Akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika eneo la Mavoko kaunti ya Machakos, rais alisema kuwa mpango huo unalenga zaidi ya wakenya milioni 6.5 wanaoishi katika makazi duni hasa mitaa ya mabanda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #makaobora #News #williamruto