Makovu ya ugaidi Garissa | Ni miaka 8 tangu chuo kikuu cha Garissa kushambuliwa

  • | Citizen TV
    2,736 views

    Miaka minane tangu magaidi wanne kuvamia chuo kikuu cha Garissa na kusababisha vifo vya watu 148 wakiwemo wanafunzi 146, hatua kubwa zimepigwa kuweka mikakati ya kukabiliana na ugaidi nchini na haswa kuzima uhasama wa kidini. washukiwa wawili walipata kifungo cha miaka 25 jela baada ya mahakama kupunguza kifungo cha awali cha miaka 41