Makundi mbalimbali yazidi kupinga Mswada wa Fedha

  • | Citizen TV
    1,322 views

    Makundi mbalimbali yanazidi kupinga Mswada wa Fedha wa mwaka 2023 huku shughuli ya kukusanya maoni kuhusu mswada huo ikingia mkondo wa pili kesho. Jumla ya makundi 151 yaliwasilisha hoja zao kwenye awamu ya kwanza ya shughuli hiyo iliyochukua siku 8, huku vwatu binafsi wakipangiwa kutoa maoni yao hapo kesho.