Mamia ya wanafunzi wahangaika baada ya wavamizi kuteketeza shule zao eneo la Turkana

  • | Citizen TV
    937 views

    Wanafunzi wahangaika Turkana Mamia ya wanafunzi wahangaika ameneo ya Turkana Kusini Wavamizi waliteketeza shule za Lokwar na Nakuse Wazazoi na wanafunzi walikimbilia shule ya Kaputir Serikali iliahidi kujenga shule zilizoteketezwa tangu machi