Maonyesho ya ubunifu kwa vijana yaanza Mombasa

  • | Citizen TV
    81 views

    Maonyesho ya ubunifu kwa vijana yanango'a nanga mjini mombasa hii leo. Maonyesho hayo yanalenga kutoa uhamasisho kwa vijana kuhusu mbinu tofauti za kupata ajira na kukabiliana na tatizo la usalama, utumizi wa mihadarati na mimba za utotoni.Francis Mtalaki anajiunga nasi mubashara kutoka mombasa