Maseneta wapendekeza kamati za seneti kuchunguza na kuandaa ripoti kuhusu maafa ya Shakahola

  • | K24 Video
    64 views

    Maseneta sasa wanapendekeza kamati za seneti kuhusu usalama na sheria kuchunguza na kuandaa ripoti kuhusu maafa ya Shakahola yanayohusishwa na mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie. Baadhi ya maseneta wanapendekeza kamati maalum ibuniwe ilikubaini uhalisia wa matukio ikizingatiwa kuwa serikali haikufahamu yakifanyika