Maseneta wapokea mafunzo kuhusu shughuli zao mjini Naivasha

  • | Citizen TV
    666 views

    Maseneta wamekongamana mjini Naivasha kwa mafunzo ya siku tano kuhusiana na namna ya kuendesha shughuli za bunge hilo, haswa kwa wale waliochaguliwa na kuteuliwa kwa mara ya kwanza. Miongoni mwa wanaotarajiwa kuhutubia kongamano hilo ni Jaji Mkuu Martha Koome, Waziri wa hazina kuu Ukur Yattani miongoni mwa wataalam wengine wa ugatuzi.