Mashimo yaonekana eneo la Ngata, Nakuru

  • | Citizen TV
    3,897 views

    Familia Zaidi ya hamsini katika eneo la Kaptembwa Nakuru Magharibi wamehama kwao baada ya nyumba wanazoishi kupata nyufa na zingine kusombwa Na Maji kufuatia mvua kubwa ilionyesha jumatano usiku.